Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) ulianzishwa mwaka 1998 wakati wa kampeni kubwa ya kimataifa ya kuomba kusamehewa na kufutiwa madeni iliyoitwa Global Jubilee Debt Campaign, hivyo mwaka huu 2018 mtandao unatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake.
TCDD
Tanzania Coalition on Debt and Development