Deni La Taifa Limeongezeka Kutoka Sh. Trilioni 49.86 Mwezi April,2018 Hadi Kufikia Sh.trilioni 51.03 Mwezi April ,mwaka 2019

NA Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mpango Dokta Philiph Mpango wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara  ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Dokta Mpango amesema kati…

Uganda Public Debt to GDP ratio to rise to 49.5 percent, says IMF
Uganda Public Debt to GDP ratio to rise to 49.5 percent, says IMF

Uganda Public Debt to GDP ratio to rise to 49.5 percent, says IMF

Wednesday February 13 2019 By MARTIN LUTHER OKETCH In Summary According to data from the Central Bank, while lending rates on foreign exchange loans stood at an average of 8.2 per cent in quarter ended December 2018, the shilling-denominated loans…

Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni
Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni

Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni

By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz  Tuesday, November 6, 2018 Dodoma. Kamati ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali kujipima na kuweka ukomo kwenye uwiano wa ulipaji wa deni la Serikali na mapato ya ndani ili kuona athari yake kiuchumi na kibajeti. Kauli hiyo…

Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii
Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii

Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii

Friday, May 4, 2018 By Habel Chidawali, Mwananchi hchidawali@mwananchi.co.tz Kwa ufupi Uhakiki wa deni la mifuko hiyo ulifanyika mwaka 2016 na Serikali ilianza kulipa kwa kutumia hati fungani zinazotarajia kuiva kati ya miaka mitatu (3) Dodoma. Jumla ya deni lililowasilishwa serikalini kwa…

Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)
Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)

Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)

Deni la nje ni Sh34.148 trilioni sawa na asilimia 71.5, deni la ndani lilikuwa Sh13.607 trilioni sawa na asilimia 28.5.   By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema hadi Desemba 2017, deni…