Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji ili iweze kuendelea kukabiliana na athari zitokanazo na janga la Covid 19 kwa ajili ya kuimarisha uchumi wake. Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana…
