Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni
Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni

Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni

By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz  Tuesday, November 6, 2018 Dodoma. Kamati ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali kujipima na kuweka ukomo kwenye uwiano wa ulipaji wa deni la Serikali na mapato ya ndani ili kuona athari yake kiuchumi na kibajeti. Kauli hiyo…

Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii
Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii

Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii

Friday, May 4, 2018 By Habel Chidawali, Mwananchi hchidawali@mwananchi.co.tz Kwa ufupi Uhakiki wa deni la mifuko hiyo ulifanyika mwaka 2016 na Serikali ilianza kulipa kwa kutumia hati fungani zinazotarajia kuiva kati ya miaka mitatu (3) Dodoma. Jumla ya deni lililowasilishwa serikalini kwa…

Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)
Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)

Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)

Deni la nje ni Sh34.148 trilioni sawa na asilimia 71.5, deni la ndani lilikuwa Sh13.607 trilioni sawa na asilimia 28.5.   By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema hadi Desemba 2017, deni…