Uncategorized

Halmashauri ya manispaa ya Iringa yadhamiria kuboresha Elimu
Halmashauri ya manispaa ya Iringa yadhamiria kuboresha Elimu

Halmashauri ya manispaa ya Iringa yadhamiria kuboresha Elimu

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imedhamiria kuboresha miundombinu kwenye shule za sekondari. Akizungumza kwenye kikao cha mrejesho kuhusu tathimini ya hali ya elimu uliofanywa na Wise Utilization for Natural Resource Sustainability (WURNS) ambaye ni mwanachama wa Matandao wa Madeni na…

IMF kuipatia Tanzania fedha ili kukabili athari za Corona
IMF kuipatia Tanzania fedha ili kukabili athari za Corona

IMF kuipatia Tanzania fedha ili kukabili athari za Corona

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji ili iweze kuendelea kukabiliana na athari zitokanazo na janga la Covid 19 kwa ajili ya kuimarisha uchumi wake. Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana…

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAHUSU: KUWAPONGEZA IMF KUIPATIA TANZANIA MSAADA ILI KUSAIDIA KUPAMBANA NAATHARI ZA UGONJWA WA CORONA Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) inalipongeza shirika la Fedha Duniani, IMF kupitia mfuko wake wa ‘Catastrophe Containment and Relief…

IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania under the Catastrophe Containment and Relief Trust

June 10, 2020 The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months. IMF debt service…

Dodoma Kuwa Kama Ulaya Baada Ya Benki Ya Maendeleo Ya Afrika Kutoa Mkopo Wa Sh. Bilioni 414 Kujenga Barabara Za Mzunguko

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Jiji la Dodoma na vitongoji vyake, hivi karibuni litabadilika mwonekano wake na kuwa la viwango vya kimataifa baada ya Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB kuipatia Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ya dola…

Deni La Taifa Limeongezeka Kutoka Sh. Trilioni 49.86 Mwezi April,2018 Hadi Kufikia Sh.trilioni 51.03 Mwezi April ,mwaka 2019

NA Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mpango Dokta Philiph Mpango wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara  ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Dokta Mpango amesema kati…