Deni La Taifa Limeongezeka Kutoka Sh. Trilioni 49.86 Mwezi April,2018 Hadi Kufikia Sh.trilioni 51.03 Mwezi April ,mwaka 2019
NA Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mpango Dokta Philiph Mpango wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Dokta Mpango amesema kati ya kiasi hicho,deni la ndani lilikuwa Sh.trilioni 13.25 na deni la nje ni Sh.Trilioni 37.78 […]