Tanzania Yapewa Mkopo wa Tsh Bilioni 422.16 kutoka Korea Kusini kujenga Hospitali Zanzibar
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ameshuhudia Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zikisaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 422.16 zitakazotumika kujenga Hospitali ya Rufaa ya Binguni, Zanzibar. Mkataba wa Mkopo huo umesainiwa jijini Soeul, Korea Kusini tarehe 05 Juni, 2024 […]