By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz Tuesday, November 6, 2018 Dodoma. Kamati ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali kujipima na kuweka ukomo kwenye uwiano wa ulipaji wa deni la Serikali na mapato ya ndani ili kuona athari yake kiuchumi na kibajeti. Kauli hiyo…

Kamati ya Bajeti yaishauri Serikali kujitathmini ulipaji Madeni

TCDD Steering Committee September 2018

Serikali yahakiki deni la Trilioni 2 mifuko ya jamii
Friday, May 4, 2018 By Habel Chidawali, Mwananchi hchidawali@mwananchi.co.tz Kwa ufupi Uhakiki wa deni la mifuko hiyo ulifanyika mwaka 2016 na Serikali ilianza kulipa kwa kutumia hati fungani zinazotarajia kuiva kati ya miaka mitatu (3) Dodoma. Jumla ya deni lililowasilishwa serikalini kwa…

Deni la Taifa sasa ni Sh47.7 trilioni (Imechapishwa na gazeti la Mwananchi March 13, 2018)
Deni la nje ni Sh34.148 trilioni sawa na asilimia 71.5, deni la ndani lilikuwa Sh13.607 trilioni sawa na asilimia 28.5. By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema hadi Desemba 2017, deni…
Kila Mtanzania sasa adaiwa milioni moja
Raia Mwema (Mwandishi Wetu) Toleo la 463 22 Jun 2016 DENI la Taifa limepaa na kufikia dola za Marekani bilioni 20.5 (Shilingi trilioni 44.7) hadi kufikia mwezi Aprili mwaka huu, kutoka dola bilioni 19.1 (Shilingi trilioni 38) mwezi Juni,…
CSOs Stakeholders Meeting on Global Partnership for Effective Development Co-operation
Tanzania Coalition on Debt and Development (TCDD) organizes CSOs stakeholders meeting in Dar es Salaam on 9th March 2016 to discuss on Global Partnership for Effective Development Co-operation Second Round Monitoring in Tanzania. The monitoring exercise is grounded at…
Global Partnership for Effective Development Co-operation Second Monitoring 2016
The Global Partnership for Effective Development Co-operation was established at the Fourth High-Level Forum on Aid Effectiveness in Busan, in 2011 agreed in June 2012. It is an inclusive political forum bringing together governments, bilateral and multilateral organizations, civil society…

DEVELOPMENT ORGANISATION WARN OF DEBT CRISIS
By Silvia Richter Germany’s debt relief alliance “erlassjahr.de” and the Catholic relief Organisation “Misereor” are drawing attention to dramatic development in government debt among the poor countries of the Global South. They called on the G20 Ministers of Finance,…

Hali ya Elimu na Afya na changamoto zake Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
Utafiti na ufuatiliaji wa fedha zinazotolewa na serikali katika sekta ya elimu na afya ni muhimu sana ili kujua kama zinafanya kazi iliyokusudiwa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Bi Hanji Yusufu Godgod alipokuwa akifungua mkutano…

Dinner with TCDD Permanent Members
Tanzania Coalition on Debt and Development (TCDD) organized dinner with its Permanent Members who are also religious Institution leaders together with some TCDD Steering Committee Members. The event was taking place on February 15, 2017, at Protea Courtyard Hotel Dar…