Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania zaidi ya Tsh. Trilioni 3.9
Source: JamiiForums. Benki ya Dunia (WB) imesema ipo tayari kuipaTanzania mkopo wa masharti nafuu wa Dola 1.7 bilioni ambazo ni zaidi ya Sh3.9 trilioni. Fedha hizo ni zile zilizobaki katika fungu awamu ya 18 ya mgao wa chama cha kimataifa cha maendeleo (IDA) kilichopo ndani ya WB ambacho hujihusisha na kuzisaidia nchi masikini zaidi duniani […]